Kutoka 21:19 BHN

19 iwapo huyo aliyepigwa atapata nafuu na kuweza kutembea kwa kutegemea fimbo, huyo aliyemjeruhi atasamehewa. Lakini, atamlipa fidia ya muda alioupoteza kitandani, na kuhakikisha amemwuguza mpaka apone kabisa.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:19 katika mazingira