Kutoka 21:20 BHN

20 “Mtu akimpiga mtumwa wake wa kiume au wa kike kwa fimbo na kumwua papo hapo, ni lazima aadhibiwe.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:20 katika mazingira