28 “Ngombe akimpiga mtu pembe na kumwua, ng'ombe huyo atauawa kwa kupigwa mawe na nyama yake haitaliwa. Mwenye ng'ombe huyo hatakuwa na lawama.
Kusoma sura kamili Kutoka 21
Mtazamo Kutoka 21:28 katika mazingira