Kutoka 21:29 BHN

29 Lakini kama ng'ombe huyo amezoea kupiga watu pembe, na mwenyewe akaonywa lakini hakumfunga, kama ng'ombe huyo akiua mtu lazima apigwe mawe, na mwenyewe lazima auawe.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:29 katika mazingira