Kutoka 21:35 BHN

35 “Ngombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine na kumwua, basi, watu watamwuza huyo ng'ombe aliyebaki hai na kugawana bei yake; vilevile watagawana yule ng'ombe aliyekufa.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:35 katika mazingira