Kutoka 21:36 BHN

36 Lakini kama huyo ng'ombe alikuwa amezoea kupiga wengine pembe na mwenyewe hakumfunga, mwenyewe atalipa ng'ombe kwa ng'ombe, na yule aliyeuawa atakuwa wake.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:36 katika mazingira