Kutoka 22:1 BHN

1 “Mtu akiiba ng'ombe au kondoo na kumchinja au kumwuza, atatozwa ng'ombe watano kwa kila ng'ombe, na kondoo wanne kwa kila kondoo.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:1 katika mazingira