Kutoka 22:11 BHN

11 kiapo mbele ya Mwenyezi-Mungu kitaamua kati yao, kuonesha kwamba huyo aliyekabidhiwa hakuhusika na wizi wa mali ya mwenzake. Mwenye mnyama huyo atakubali hicho kiapo, na huyo mwenzake hatalipa malipo yoyote.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:11 katika mazingira