Kutoka 22:10 BHN

10 “Mtu akimkabidhi mwenzake punda, ng'ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, na mnyama huyo akafa au akaumia au akachukuliwa bila mtu yeyote kushuhudia,

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:10 katika mazingira