Kutoka 22:9 BHN

9 “Pakiwa na ubishi juu ya ng'ombe, au punda, au kondoo, au mavazi, au kitu chochote kilichopotea ambacho kila mmoja anadai ni chake, wanaohusika wataletwa mbele za Mungu. Yule ambaye Mungu ataamua amekosa, atamlipa mwenzake mara mbili.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:9 katika mazingira