Kutoka 22:7 BHN

7 “Mtu akimwachia mwenzake fedha au mali nyingine amtunzie, kisha ikaibiwa nyumbani mwake, mwizi akipatikana lazima alipe thamani yake mara mbili.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:7 katika mazingira