Kutoka 23:18 BHN

18 “Usinitolee damu ya tambiko yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu, wala usiyaache mafuta ya sikukuu yangu yabaki mpaka asubuhi.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:18 katika mazingira