Kutoka 23:19 BHN

19 “Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.“Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:19 katika mazingira