Kutoka 23:23 BHN

23 Malaika wangu atakapowaongoza na kuwafikisha katika nchi ya Waamori, Wahiti, Waperizi, Wakanaani, Wahivi na Wayebusi, nami nikawaangamiza hao wote,

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:23 katika mazingira