Kutoka 23:24 BHN

24 msiiname mbele ya miungu yao kuiabudu, wala kuitumikia, wala msiige mambo yao. Bali mtawaangamiza kabisa na kuzivunjavunja nguzo zao.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:24 katika mazingira