Kutoka 26:9 BHN

9 Utaunga mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Pazia la sita utalikunja mara mbili mbele ya hema.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:9 katika mazingira