17 Halafu utamkata huyo kondoo vipandevipande; utaosha matumbo yake na miguu yake, uviweke vyote pamoja na kichwa na vipande vingine.
Kusoma sura kamili Kutoka 29
Mtazamo Kutoka 29:17 katika mazingira