18 Kisha utamteketeza kondoo mzima juu ya madhabahu ili kunitolea sadaka ya kuteketezwa; harufu ya sadaka inayotolewa kwa moto itanipendeza mimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kutoka 29
Mtazamo Kutoka 29:18 katika mazingira