Kutoka 29:23 BHN

23 Kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu kilicho mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu, utachukua mkate mmoja na andazi moja lililotiwa mafuta na mkate mwembamba mmoja.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:23 katika mazingira