24 Vyote hivi utamkabidhi Aroni na wanawe nao wataviinua juu kuwa ishara ya kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kutoka 29
Mtazamo Kutoka 29:24 katika mazingira