Kutoka 29:36 BHN

36 na kila siku utatoa fahali awe sadaka ya kuondolea dhambi ili kufanya upatanisho, na kwa kufanya hivyo utaitakasa madhabahu; kisha utaimiminia mafuta ili kuiweka wakfu.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:36 katika mazingira