Kutoka 29:37 BHN

37 Kwa siku saba utaifanyia madhabahu upatanisho na kuiweka wakfu. Baada ya hayo, madhabahu itakuwa takatifu kabisa na chochote kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:37 katika mazingira