Kutoka 29:46 BHN

46 Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili niishi kati yao. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:46 katika mazingira