Kutoka 31:14 BHN

14 Mtaiadhimisha Sabato, nayo itakuwa kwenu siku takatifu. Yeyote atakayeitia unajisi siku hiyo lazima auawe. Na mtu atakayefanya kazi yoyote siku hiyo atatengwa mbali na watu wake.

Kusoma sura kamili Kutoka 31

Mtazamo Kutoka 31:14 katika mazingira