Kutoka 31:15 BHN

15 Mtafanya kazi zenu kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba ni siku rasmi ya mapumziko, ni siku yangu takatifu. Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo lazima atauawa.

Kusoma sura kamili Kutoka 31

Mtazamo Kutoka 31:15 katika mazingira