Kutoka 32:31 BHN

31 Hivyo Mose akarudi kwa Mwenyezi-Mungu, akamwambia, “Nasikitika! Watu hawa wametenda dhambi kubwa; wamejifanyia wenyewe miungu ya dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 32

Mtazamo Kutoka 32:31 katika mazingira