5 Kisha Aroni akamjengea huyo ndama madhabahu, halafu akatangaza, “Kesho kutakuwa na sikukuu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Kutoka 32
Mtazamo Kutoka 32:5 katika mazingira