Kutoka 32:6 BHN

6 Kesho yake watu waliamka mapema wakatoa sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani. Watu wakaketi chini kula na kunywa; kisha wakasimama na kucheza.

Kusoma sura kamili Kutoka 32

Mtazamo Kutoka 32:6 katika mazingira