Kutoka 33:11 BHN

11 Hivyo ndivyo Mwenyezi-Mungu alivyokuwa akiongea na Mose uso kwa uso, kama mtu na rafiki yake. Kisha Mose alirudi tena kambini. Naye kijana Yoshua mwana wa Nuni ambaye alikuwa mtumishi wake hakuondoka hemani.

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:11 katika mazingira