Kutoka 33:12 BHN

12 Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Tazama! Wewe waniambia, ‘Waongoze watu hawa,’ lakini hujanijulisha ni nani utakayemtuma anisaidie. Hata hivyo umesema kwamba unanijua kwa jina na pia kwamba nimepata fadhili mbele zako.

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:12 katika mazingira