Kutoka 33:13 BHN

13 Sasa basi, nakusihi, kama kweli nimepata fadhili mbele yako, nioneshe sasa njia zako, ili nipate kukujua na kupata fadhili mbele zako. Naomba ukumbuke pia kwamba taifa hili ni watu wako.”

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:13 katika mazingira