Kutoka 33:16 BHN

16 Maana nitajuaje kuwa nimepata fadhili mbele zako, mimi na watu wako kama usipokwenda pamoja nasi? Ukienda pamoja nasi itatufanya mimi na watu wako kuwa watu wa pekee miongoni mwa watu wote duniani.”

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:16 katika mazingira