Kutoka 33:17 BHN

17 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa kuwa umepata fadhili mbele yangu, nami nakujua kwa jina lako, jambo hilihili ulilolisema nitalifanya.”

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:17 katika mazingira