Kutoka 33:9 BHN

9 Wakati Mose alipoingia ndani ya hilo hema, mnara wa wingu ulitua kwenye mlango wa hema, na Mwenyezi-Mungu akaongea naye.

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:9 katika mazingira