Kutoka 34:18 BHN

18 “Mtaiadhimisha sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu wakati uliopangwa katika mwezi wa Abibu, kama nilivyowaamuru, kwa sababu katika mwezi huo wa Abibu mlitoka Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:18 katika mazingira