Kutoka 34:19 BHN

19 Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume ni wangu, pamoja na wazaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wako wote, wa ng'ombe na wa kondoo.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:19 katika mazingira