Kutoka 34:20 BHN

20 Mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa kunitolea kondoo. Kama hutamkomboa utamvunja shingo. Watoto wenu wote wa kiume ambao ni wazaliwa wa kwanza mtawakomboa. Mtu yeyote asije mbele yangu mikono mitupu.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:20 katika mazingira