Kutoka 34:28 BHN

28 Mose alikaa huko mlimani pamoja na Mwenyezi-Mungu siku arubaini, mchana na usiku; hakula chakula wala kunywa maji. Aliandika maneno yote ya agano na zile amri kumi.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:28 katika mazingira