Kutoka 34:29 BHN

29 Mose alipokuwa anashuka mlimani Sinai akiwa na vile vibao viwili vyenye maneno ya agano mikononi mwake, hakujua kuwa uso wake ulikuwa unangaa kwa sababu alikuwa ameongea na Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:29 katika mazingira