Kutoka 34:30 BHN

30 Aroni na watu Waisraeli wote walipomwona waliogopa kumkaribia, kwani uso wake ulikuwa unangaa.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:30 katika mazingira