Kutoka 34:4 BHN

4 Basi, Mose akachonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza. Akaondoka asubuhi na mapema, akapanda mlimani Sinai, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru, akiwa na vile vibao viwili vya mawe mikononi mwake.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:4 katika mazingira