Kutoka 34:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu akashuka katika wingu, akasimama pamoja na Mose, akalitaja jina lake, “Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:5 katika mazingira