Kutoka 34:6 BHN

6 Kisha Mwenyezi-Mungu akapita mbele ya Mose akitangaza tena, “Mwenyezi-Mungu; mimi Mwenyezi-Mungu, ni Mungu mwenye huruma na neema; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa fadhili na uaminifu.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:6 katika mazingira