Kutoka 35:21 BHN

21 Kila mtu aliyevutwa na kusukumwa moyoni mwake alimtolea Mungu mchango wake kwa ajili ya hema la mkutano, huduma zake zote na mavazi yake matakatifu.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:21 katika mazingira