Kutoka 35:22 BHN

22 Hivyo wote wenye moyo mkarimu, wanaume kwa wanawake, wakaleta vipini, pete za mhuri, vikuku na kila aina ya vyombo vya dhahabu; kila mtu akamtolea Mwenyezi-Mungu kitu cha dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:22 katika mazingira