Kutoka 35:23 BHN

23 Kila mtu alileta chochote alichokuwa nacho kama vile sufu ya rangi ya buluu zambarau na nyekundu, au kitani safi, au manyoya ya mbuzi au ngozi ya kondoo iliyotiwa rangi nyekundu.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:23 katika mazingira