Kutoka 35:24 BHN

24 Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:24 katika mazingira