Kutoka 35:25 BHN

25 Wanawake wote waliokuwa na ujuzi wa kufuma walileta vitu walivyofuma kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:25 katika mazingira