Kutoka 36:3 BHN

3 Hao wakapokea kutoka kwa Mose vitu vyote vilivyotolewa na Waisraeli kwa hiari kwa ajili ya kazi ya hema takatifu. Watu waliendelea kumletea michango yao ya hiari kila asubuhi.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:3 katika mazingira