2 Mose alimwita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu ambaye alikuwa amejaliwa ujuzi na Mwenyezi-Mungu, na kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma kufanya kazi kwa hiari.
Kusoma sura kamili Kutoka 36
Mtazamo Kutoka 36:2 katika mazingira